Kiswahili Utumizi mzuri wa dawa Cited by user Mpmayenge on 20 Sep 2010 Utumizi mzuri wa dawa (pia: uzingativu) katika taaluma ya uuguzi, inaelezea kiwango ambacho mgonjwa huzingatia ushauri wa daktari.